NGUVU YA PETE
NGUVU YA PETE
Je,
unafahamu ya kuwa madini na vito kwenye pete yanaweza kubadili maisha
yako, mtindo uliyouzoea na ugumu uliyozoea, soma kwa makini thread hii,
*Ulishawahi kujiuliza ni lini na wewe utakuwa mtu mbele ya watu?
*Rafiki mbele ya marafiki?
*Mwenye pesa mbele ya wenye pesa?
*Msemaji mbele ya wasemaji?
*Mfano mbele ya mifano?
*Tajiri mbele ya matajiri?
*Mwenye kutoa huduma mbele ya wahudumiaji?
* Mwenye kuoa mbele ya wenye ndoa?
*Mwenye kuibuka mbele ya walioibuka?
*Mwenye kutamanika mbele ya wenye kutamanika?
*Mwenye kazi mbele ya wenye kazi?
*Mwenye kukubalika mbele ya wenye kukubalika?
*Mwenye Miujiza mbele ya wenye Miujiza?
Just stop asking yourself and act today,
Ninachoenda
kufundisha hapa kwenye hii thread basi itamnufaisha kila mmoja na kila
mtu kwa level zote za maisha na akapata anachotamani bila kufanya dhulma
ya nafsi au roho yake mwenye na kujikita katika ushetani au mambo
yasiyopendeza mbele ya Mwenyezi Mungu na jamii nzima,
Kwa
kuanza wakuu nitawakumbusha au kuwarudisha nyuma kwamba kabla ya
kuumbwa mwanadamu na vyote vilivyopo ilianza kauli ya Mwenyezi Mungu
ambayo waislamu tunaitambua kama "Kun faya kun" kuwa na jambo likawa
kauli yake Allah (S.W)
Lakini
pia kwa jamaa zetu wa karibu ambao tunaishi nao kwa wema wakristo nao
pia wanaamini kuwa hapo mwanzo kulikuwa (Neno) neno kwa maana ya kawaida
ni kauli inayotamkwa,
Dunia
hii inaaminika kuwa iliubwa kwa Mawe au kauli za Mwenyezi mungu au kwa
wasioamini uwepo wa roho pia wao husema kuwa Dunia ni mkusanyiko wa
elements mbalimbali ambazo zilijichanganya na kufanya Creation ya viumbe
(BIG BANG THEORY),
Nachochukua kutoa hapo sehemu zote 3 nikiwa na maana kwamba (Islam/Christian & pagan)
Ni elements
Elements:
zipo katika sehemu kuu 4 zinazotambulika na wengi ambazo ni:
*moto
*upepo
* Maji
*udongo
Sisi tunaoamini katika dini na Mwenyezi Mungu tunaongeza moja Ambayo ni
*roho
Hivyo inakuwa element tano ambazo ni:
*moto
*upepo
*Maji
*Udongo
*roho
Hivyo kwa mpangilio huo tu tunaonakwamba
Huwezi kupata udongo bila roho,
Sawa sawa?
Huwezi kupata Maji bila udongo!
Huwezi kupata upepo bila maji!
Na huwezi kupata chochote kile bila Chanzo! au hayo niliyoainisha hapo
Hata kazi huwezi kupata bila kuwa na akili yake au elimu n.k,
Naimani tupo pamoja hadi hapo,
Sasa
sisi teyari ni roho za Aliyetuumba Muumba wetu na pia ili tuweze kufika
popote pale tunapotaka kwenda lazima tufuate vema safari tunayoenda
bila kukosea hatua moja, ili mwisho wa siku tuweze kurudi kuwa roho bila
kukosea na kutokukwamia kwenye moto(maybe hell will help you to
understand)
Your source is Spirit and your end is Spirit, if your end is in fire that's your choice,
Kwamba:
"Chanzo chako ni roho na mwisho wako ni roho kama utaishia Motoni hilo ni chaguo lako"
Hivyo sote tunakubali kwamba mwenyezi mungu ni wa mwanzo na wa mwisho,
Islam "Allahu Al Awwal wa Al Akhir"
Christian "Alpha & Omega"
Mimi
huwa naamini jambo moja kwamba Mwenyezi Mungu vyovyote vile unavyomjua
wewe hakuleta mtu duniani kuja kuteseka bali kuishi na kumuabudu na
kisha kwenda zake kurudi alipokutoa.
Nikiendelea kuzungumzia kwa upana thread itachosha wacha nifupishe kwa kuwasaidia wanyonge wa kusoma
Katika
hii dunia kuna mawe saba tu na madini saba tu ambayo mtu anatakiwa
ayatumie pale ambapo anakuwa na tatizo linalomshinda kutatua ikiwa
atataka roho yake itulie bila kuwa na bugudha ya kukosa utulivu au bila
kufanya jambo kwa mafanikio, sio kila anayeishi anajua vitu vyote na
kazi yake hivyo kuongozana na kukumbusha au kuhabarisha ni heri kwa kila
mtu,
aina
hizi za mawe ndio pekee ambazo zimethibitishwa hata kisayansi kuwa na
nguvu ambazo hapo zamani zilionekana za kiroho na habari za kusikika tu
lakini kwa sasa wanasayansi katika tafuta tafuta wamekuja kujua kwamba
kuna baadhi ya mawe kweli yana nguvu chanya zinazoweza kumsaidia mtu
katika mambo fulani fulani.
pia
kuna aina saba za madini ambayo mtu anaweza kuyatumia kwa kuchanganya
na mawe hayo kupata pete hizo ambazo zinakuwa na uwezo wa nguvu ambayo
mtu humpa nguvu na kuweza kufikia yale anayoyatamani,
Aina saba za madini ni:
1: Lead/Risasi
2: tin/Bati
3: iron/ chuma
4: Gold/dhahabu
5: Copper/ kopa/shaba
6: brass/ shaba/kopa
7: silver / Fedha
Aina saba za mawe ni:
1: Jet
2: Amethyst
3: Bloodstone (jiwe la Yesu)
4: Amber ya njano
5: Jade
6: Carnelian(Aqiq) jiwe la mtume
7: Moonstone
Wakuu hayo ndio madini na mawe makuu yenye maana pana na kubwa sana na historia iliyo nzuri na kipekee na kwa mapana na marefu,
Wadogo
na wakubwa zangu mnaolimbukia kuvaa stones na metals ambazo hamjui
maana zake na utumikaji wake nawapa pole mwisho wake ni kuangamia na
kujikuta kwenye wakati mgumu usioweza kusaidika, pia unakuta mtu anavaa
pete mkono usiofaa na madini yasiyofaa na jinsi isiyofaa ndugu yangu
hatutashangaa tukiskia umejiua au umefanya jambo la kutikisa dunia,
unakuta mtu anavaa pete
*kidole cha gumba bila kujua maana yake, hivyo ni kuwish kufa kwa kujiua au udhalili,au kuuliwa kwa heshima au vitani
*pia
kuvaa pete kidole cha shahada ni kukaribisha tabia za Sodom &
Gomorrah katika roho yako na utafanya kwa sababu wao walikuwa wakifanya
hivyo baada ya kuingiliwa,
*pia unakuta mtu anavaa pete kidole cha kati bila kujua maana yake
*mwingine huvaa kidogo bila kujua maana yake,
Jiepusheni na mambo msiyoyajua,
Pia pole kwa wavaa dhahabu na fedha bila kujua mwisho wake ni hovyo tu, heri kuachana navyo tu,
Sasa tukiachana na hayo tuanze na aina moja moja ya madini na kazi zake:
MADINI YA RISASI au PETE ya RISASI
madini
haya utawala wake upo kwa malaika wa siku ya jumamosi ambaye anaitwa
Cassiel au Kasfayaiill, na Jini anayetawala Jumamosi anaitwa, Abuu Nuhu
Au waswahili humuita Maimuna au kiizrael huitwa Aratron.
kama
nilivyoweka kuwa ya kwanza kuelezea basi pia ujue ndio madini
yaliyokuwa sawia kuliko mengine katika mambo ya kiroho, nayo hii
inatawala sayari ya Zohari(saturn) na wenye kuzaliwa chini ya sayari hii
sote tunafahamu uzito wa hizi sayari na kugharimika katika mambo
tunayoyafanya yawe ya heri au shari na miinuko/mihemko,fikra,hisia na
maamuzi kutokana na sayari hizi kiroho na kazi zake ni wachache kati
yetu wasiofahamu kazi za sayari hizi, kama unahisi hufahamu hapana
unafahamu kabisa mambo ya kiroho yanatawala sana masharti, masharti haya
hutokea kulingana na sayari unayofanyia jambo lako hilo kama
kuponya,mapenzi,utajili n.k
kama
ilivyo kwa madini haya mazito pia mepesi na machafu ndivyo ilivyo
sayari ya Zohari ambayo huleta kwa mtu majukumu makubwa kwenye maisha ya
mtu basi madini haya hutoa wepesi ndani ya uzito huo na ufanisi mzuri
wa utendaji kwa mvaaji katika maisha yake na kipato chake, hufanya mtu
kuona wepesi wa mambo mengi pia muonekano wa kupenda na wengine
huwafanya kuvutia mbele ya watu hasa anapovaa mwanasiasa na humletea mtu
manufaa yake binafsi anayoyahitaji,
Sehemu
kubwa ya magonjwa ya milipuko yanayoletwa na aura mbovu za watu wenye
aura nyeusi vijicho na husda,huzuni,woga,kukosa,kufunga,kutokuwa na
maamuzi ya maisha yako binafsi,tamaa za ulimwengu kutokana na ushawishi
wake yote hayo madini haya ukijua siku saa na kipindi cha kuyavaa basi
utajionea ajabu,humzuia aliyevaa kutokana na kutapeliwa hovyo
kudanganywa na ujinga ujinga wa kilaghai pamoja na hila za watu na zake
mwenyewe,
humfanya mwenye kuvaa kuwa na mawazo ya kitukufu na kumuondolea woga wa imani za kishirikina.
tofauti
kubwa ya mtu anaevaa risasi ni kutokuwa na tahadhari ya yale
anayoambiwa na kuyasikia mbali na kuyafuata anakuwa hana tofauti na
maamuzi ya watu waliozaliwa chini ya sayari hii yaani wenye nyota za
mbuzi na ndoo. Na unapovaa madini haya basi huwezi kufanya kitu kwa
kukurupuka wala kuwa na pupa ya mambo mazuri au mabaya,wala kufikiria
gharama zake basi hata ikiwa mme au mke wako ni mtu wa kuhuzunika na
manung'uniko hovyo mtafutie pete ya Risasi kavu hapo utakuwa umemaliza
kulingana na siku na saa ambayo wakati anazaliwa sayari hii ya Zohari
ilikuwa wapi na katika element ipi udongo au upepo,
kisha
unamvisha saa kama hiyo au unampa aijaribu tu kuivaa saa hiyo
ataing'ang'ania moja kwa moja dhiki yako ya manung'uniko yake kwako
itakuwa imeisha na huzuni na mengineyo niliyoyataja hapo atanufaika
nayo, humsaidia mtu mwenye tabia za husda na roho mbaya kukaa sawa
kitulivu na huwa mwenye hekima za ajabu na humpunguzia tabia za uchoyo
mtu na humuondolea mikosi ya mwilini,
humfanya
mtu kuweza kuishi na watu kwa wema na humuondoshea ubaguzi wa aina
yoyote ile na humfanya kuona ni nafasi ipi na yai anayoyahitaji anaweza
kuyapata vipi huja kama mawazo au maono kichwani mpe mtu aliyekata tamaa
ya maisha na watu waliovunjika moyo katika maisha basi kadri siku
zitakavyokuwa zikienda utaanza kuona anabadilika hata wagonjwa wenye
kujikatia tamaa au visirani basi wavishe Risasi hii basi utamuona kila
siku anavyobadilika na kuendelea kupata hamasa nzuri,
pia
kama kuna mtu unamchukia sana na unatamani hata kumuumiza au mtoto au
ndugu basi mvishe Risasi taratibu roho yako itaanza kujirudi kwake kwa
sharti tu la kujua wakati anazaliwa sayari ya Zohari/Saturn ilikuwa wapi
na kwa hali gani ili iweze kufanya maajabu ndani ya siku 1-3
utanishukuru baadae
pia
madini haya humfanya mtu kujihisi na yeye ni sehemu ya watu waliopo
duniani humu na anaweza kufanikiwa kirahisi na hakuna chochote cha
kuzuia hilo
humsogezea
mtu kitu ambacho roho yake hutamani naomba nieleweke hapa ya kuwa
unahisi kwamba ukiwa na pesa au tajiri ndio utafurahi hapana kama kwenye
utajiri wako huo utapenda kuona umempata mke au mume fulani au wa
fulani ndio roho yako itatakata basi itakuvutia uwiano sawa na utampata
na utakuwa mwenye furaha pia kama unatamani kumiliki gari ya thamani na
huna chanzo chochote cha kuipata basi kazi ya hii sio kukununulia gari
hapana hii itakuletea hiyo gari ya thamani na utatumia hadi utakapo
choka na kurudisha kwa mwenyewe.
hivyo
unatakiwa uwe specific na wish unazoweka hapa ndio wengi hukosea kwenye
maswala ya kiroho anatamani kitu bila kukiweka wazi basi matokeo yake
anakipata na kushindwa kujua kama anacho,
mfano:
mtu
ni mwanafunzi na anaishi kwao anatamani awe anakaa peke yake na gari ya
kutembelea halafu bado yupo shule hivi vitu atavipata na hata jua kama
kavipata sasa anapata nafasi ya kuhama eneo analosoma anahamia mji wa
ugenini anapangiwa na wazazi wake au ndugu wa wazazi wake nyumba ya
kuishi ili asome huko nje ya mji wake na anapewa gari ya kuendea shule
na mafuta hesabu zipo kwa muhusika sasa anakuja kusema nilitamani niwe
na nyumba na gari, nimepata ya kupangiwa na gari ya kuazimwa hapa
hukutamani wewe vya kwako ulitamani randomly hivyo kimekuja randomly
vile vile.
MADINI YA BATI au PETE ya BATI
Bati
ni madini yanayosimama siku ya Alhamisi malaika wake ni
Sarfayail/Israfil ambaye huyu hupuliza baragumu siku ya hukumu Judgement
Day ambapo yeye huamrishwa na Mwenyezi mungu kufanya hivyo siku hiyo na
roho zote zikafufuliwa Mungu atujaalie tuwe ni miongoni mwa
waliobahatika kufaulu siku hiyo. pia utawala wa chini huku duniani yupo
jini au mfalme anaitwa Malaika wake anaitwa Shamhuurush Kadhi wa Majini
au Bethor kiizrael
Madini
haya ya bati kiroho hutumika na wenye nyota zinazotawala sayari hiyo
katika kuwavutia elimu utajiri,miujiza mbalimbali mafanikio,maendeleo
ambapo hupendeza sana yakitumiwa siku za alhamisi mchana na jumapili
usiku na pia hufaletea wanyonge ufanisi na ulaini wa mambo,madini haya
humletea mvaaji utajiri bila kutumia nguvu nyingi lakini pia humfanya
mtu kujihisi kuwa bora zaidi kuliko wengine, pia kushinda mambo ya
kiserikali kuwaondolea wenye matatizo ya shinikizo la damu na kuwaponya
kabisa kuwasaidia katika biashara safari na kuoa au kuolewa kwa wenye
kukosa ndoa na mahitaji yake,vile vile huwaongezea maarifa watu
wasiokuwa na mawazo ya kitu chochote na yote hayo yoyote anaweza
kuyapata kwa kujua tu wakati anazaliwa utawala wa Malaika Majini Na
Sayari hiyo ulikuwa kwenye nyuzi Ngapi na katika asili ipi kisha ndio
wanaweza kuvaa pete hiyo baada ya kuiosha na maji ya chumvi ya asili
MADINI YA CHUMA:
Madini
haya kiroho ni mazuri sana katika ufanisi wake ni kuwa mwenye kuyatumia
katika utawala wa sayari ya Mars (Marikh) basi hushinda kila aina ya
vita anayopambana iwe ya kimwili au ya kiroho,mashaka yoyote,akitaka mtu
kuwa na nguvu maradufu hata katika mapenzi
kutokufanyiwa,maudhi,hujuma,kuzulumiwa hovyo kutendewa haki,kushinda
kesi,kuondowa mikosi ,kujikinga na kuvunjika mwili,migogoro na dhoruba
au majanga yoyote au kumkusudia mtu yoyote jambo baya basi na apate pete
hii na aitengeneze au anunue kisha aivae kwa kufuatia siku saa na
kipindi alipokuwa akizaliwa ni wapi sayari ya Mars ilikuwa na utawala
wake, Ifahamike kuwa utawala wa sayari hii upo kwa malaika wa Mwenyezi
Mungu ambaye ni Samsamail au Jina jingine ni Izrael mtoa roho za watu
basi na pia kuna jini anaesimamia hapo siku hiyo aneyeitwa Abu Muhriz Al
Hamar, na shetani wa siku hiyo waizrael humuita Phaleg hivyo unaweza
kuyafanikisha hayo kwa kujua tu wakati unazaliwa Sayari ya Mars ilikuwa
wapi na ndio huko huko utakuwa ukiitumia na siku zake ambazo ni jumanne
mchana na ijumaa usiku,
mfano:
umezaliwa jumamosi na sayari hii ilikuwa saa tatu asubuhi basi ikifika
siku hiyo jumamosi saa 3 asubuhi unanuia kisha unavaa hata kwa hilo saa
moja tu basi majibu utayapata kama kupepesa macho tu,
MADINI YA DHAHABU:
Haya
kiroho hutumika kwa kupata kiburi,nguvu,ufahari,kuona haya,kulegeza
nyama za mwili,siasa,udereva,utajiri wa vyombo vya moto na utajiri wa
madini.
pia
dhahabu humsaidia mtu kupata nguvu ya roho kama roho yake ni dhaifu
hasa wanawake basi dhahabu humfanya awe na nguvu katika roho yake na
nafsi yake kustahimili maudhi na kusamehe, pia humuondolea mwanamke
kulazimisha au kung'ang'ania jambo ambalo mume wake haliwezi kwa wanaume
ambao wake zao hawavai dhahabu pole,hutakuja kuskia wala kuona mwanamke
aliyevaa dhahabu anampiga mmewe au kumfokea unless huyo ni shetani sio
mke,dhahabu huongeza ukarimu wa uzuri wa roho na mwili kwa mwanamke,
humfanya amvutie kila anaemtazama,pia huongeza umoto katika sehemu za
mbele na ulaini wa tupu ya mwanamke,
Malaika
wa madini haya anaitwa Rukayail ambaye huusika na doria za mbinguni na
jini wa sayari ya madini haya anaitwa Madh'habu na kiizrel anatambulika
kama OCH sayari ya madini haya ni Jua/ingawa jua sio sayari lakini lugha
ya kitaalamu lipo kwenye mpangilio wa sayari,
basi
ikiwa mtu anahitaji kupata moja kati ya mambo hayo nilioyaainisha hapo
basi atatakiwa apate pete ya dhahabu na aivae kama nilivyoelezea hapo
awali.
MADINI YA KOPA/COPPER
Haya
ni madini yanayotawaliwa na malaika Anyail na Jini wa sayari ya Venus
anaitwa Zawbat na shetani wake anaitwa Succubi(jini mahaba)
kwa
yoyote mwenye kutaka mafanikio ya kimapenzi basi yoyote yale basi na
atumie pete hii ya Kopa watu watampenda na kumkubali kwa kila hali na
hii ni kwa kufuata sharti za uvaaji wake na utendaji wake,humfanya mtu
kuwa na roho nzuri masikilizano maelewano na heshima kwa wote na
humuondoshea chuki na humfanya kuwa na sauti nzuri na kumpatisha kila
kitu kinachofurahisha mwanamke basi atafanikiwa, huongeza mapenzi kwa
jinsia tofauti na yako hukuinua juu kimuonekano hukufanya uonekana
unacho hata kama unapata kwa tabu, hufanya watu wakuhurumie kwa kila
hali na kukupenda pia, kukusifu na kukuthamini, ukichanganya hii na bati
katika muundo wako na ukaweka stone ya nyota yako basi kila unalotamani
utakuwa unalipata ndani ya dakika chake sana au siku chache,
ukiitumia
katika majira ya baridi na mvua basi utakuwa tajiri mwenye
kujitosheleza yani wewe akili yako unahisi ukiwa na nini utajihisi
tajiri basi utapata. pia ukimtaka mwanamke yoyote au mwanaume yoyote
yule kutoka rohoni yaani roho ikakuuma kiwa naye basi utampata atakuja
mwenyewe bila wewe kumuhangaikia,
yote
hayo ni kwa kufuata hawasi zake na taratibu zake na kujua nyota yako
ilikuwa wapi katika sayari ya Venus(Zuhura) wakati unazaliwa
MADINI YA BRASS/SHABA
Madini
haya utawala wake upo kwa Malaika Mikaiil ambapo hutawala siku hiyo na
jini wa siku hiyo huitwa Burkaan au OPHIEL kiizrael na hutawala sayari
ya Mercury ambayo mtu akivaa pete hii ya Brass hupata akili nyingi na
maarifa zaidi ya mtu wa kawaida na huwa na adabu kushinda wengine na
malezi mema na kuwa mwenye maelezo ya kuvutia na mwenye kusikilizwa na
huwa mtu fasihi zaidi ya kawaida na mwenye kupendeza na mwenye kipato
cha kujitosheleza, lakini pia ndio madini haya ambayo mtu akiyapata na
akataka kupata habari za kiroho za mtu au awe fake pastor au mganga
mwenye vision basi huweza kuona mengi usingizia hata kujua kesho mtu
gani anakuja na atataka nini na msaada wake ni nini,pia hii ni nzuri kwa
waalimu wanaofundisha watoto viburi na watukutu pale anapovaa hii basi
akifundisha hata watoto wasiokua na uelewa huelewa vema masomo yake na
kila siku huonekana ni mwalimu mwenye kupendeka zaidi na wanafunzi, na
pia pete hii hutumika kuchoma kuua na kutandika majini ambao ni wakorofi
wasiotaka kutoka wanaong'ang'ania vichwani kwa watu,na pia ikipanguswa
usoni kwa mtu mwenye majini au mashetani au uchawi huwa anapona hapo
hapo au kuanguka na hata ukiwa umeiweka mfukoni basi utayafanikisha hayo
kwa kufuata sharti zake na hawasi zake.
MADINI YA SILVER AU FEDHA:
Haya
ni madini maarufu sana na hutumiwa na watu wengi sana kupita madini
mengine yote na wengi huvutiwa na rangi yake na uzuri wake na pia kuiga
kwamba fulani kavaa, haya ndio madini pekee yanayoweza kumletea mtu
kinga bila kufanya chochote muda wowote saa yoyote akivaa basi anakuwa
amekingwa na vijicho na mara nyingi huchafuka mara kwa mara kwa mtu
anayepigwa kijicho mara kwa mara bila kuguswa na mafuta wala matumizi
mabaya ya mkono uliyovaa pete hiyo ya fedha siri moja kati ya siri za
fedha ni kuwa ukivaa ikachafuka sana na baadae ikaanza kung'aa yenyewe
basi kwa kipindi hicho kirefu ulichovaa huwa inakusafishia nyota yako na
kukuweka sawa sisemi hivi kwamba ndio masharti ya uvaaji wake nayatoa
hapana kuna adabu za kuvaa silver ukikosea basi hakuna pete inaleta
mikosi,nuksi,balaa,chuki,dhalau n.k kama hii
Fedha
hutawala sayari ya Mwezi na pia malaika wake huitwa Jibril na jini wake
huwa anaitwa Muraatul au kiizrael huiwa PHUL ni jini ambaye huwa
hakumbi mtu wala kutesa mtu tofauti na wengine wote niliowataja na pia
yeye huvuta watu kuwapeleka pale ambapo watoto wametupwa na wazazi wao
na kumpulizia mtu mawazo ya wapi anaweza kukomboka kutoka katika tatizo
lake na mara nyingi huwatokea watu ndotoni akiwa kavaa kanzu nyeupe na
anakuwa mfupi kiasi maji ya kunde au mwarabu mwenye ndevu nyingi tu
baadhi ya wakristo akiwatokea huyu huhisi wameshukiwa na roho takatifu
yaani Jibril (Gabriel) kumbe ni jini tu ambaye yupo chini ya uangalizi
wa malaika Jibril dini zote hukubali kuwa Jibril ni roho takatifu,
Basi
na katika hawasi zake za kuvaa pete ya fedha mtu anaevaa pete hiyo huwa
anakuwa kajikinga na mapepo ya kukumba kichwa,umsaidia mtu kupata
mawazo ya kupata riziki,kumfanikishia mazao kama ni mkulima,safari za
mafanikio,mapenzi,furaha,amani kupata mambo kwa kishindo na haraka na
mafanikio kufanikiwa katika uongozi wa kuchaguliwa na kupata uzazi kwa
wasiozaa,
Yote
hayo utayapata kwa haraka sana ikiwa tu utavaa pete hiyo siku ya kwanza
iwe ni siku sahihi saa sahihi ambapo wakati unazaliwa mwezi ulikuwa
wapi siku ngapi na ulikuwa vipi basi kila siku utaona maisha rahisi
sana.
Lakini kupata kinyume chake ni rahisi na haraka sana kwa wasiokuwa na maarifa.
Hadi kufikia hapa Thread yetu imeishia hapa mwenye swali anaweza kuuliza
Kuhusu
stone hizo maelezo yake hayana tofauti sana na ya madini haya isipokuwa
kwa stone lolote unalotaka unaweza kupata kwa stone yoyote hapo kila
kitu utapata ila tu kwa kufuata masharti yake na usawa wake, kuna stone
hapo ukivaa kwa kukosea kufungwa jela wewe ni kugusa tu, na kuna
nyingine ukivaa hapo utajiri kwako ni kama kupepesa macho tu,kila
unalotaka uaweza kupata kuna zingine ukizichanganya vibaya na madini
yake hapo utajikuta kwenye wakati mgumu hata kubakwa na watu au majini.
Jiepusheni
sana wanaume kuvaa dhahabu kwa maana hizi mila za kuvaa dhahabu kindoa
ni za wenzetu waliokosa tamaduni na nidhamu za kiroho hivyo kuvaa
dhahabu kunalainisha na kulegeza maumbile ndio maana maumbo ya wanaume
wengi waliooa na wanavaa dhahabu ngozi zao huwa zimetepeka hasa mkono wa
kushoto na kuleta usoft uliopitiliza hivyo jiwekeni mbali na mambo
msioyafahamu wala kuwa na maarifa nayo, ndio maana ndoa nyingi leo
zinayumba kwa maana mke akiongea na wewe unashindana nae kike kwa
masuala haya ya kijinga.
Ijulikane
kuwa effect za pete hizi zinafanyika siku na saa hiyo hiyo uliyovaa na
athari yake itadumu kwa muda mrefu sana hadi ujioshe ndio utaona athari
yake imekuondoka,
Usione ajabu leo kumuona mume anafokewa na mkewe analia wewe muangalie tu kidoleni utapata jibu.
FAIDA:
Nyota
ni kitu kikubwa sana kwenye mambo ya kiroho wengi wanahaha bila
kufanikiwa kiroho kwa kutokujua tu nyota zako hizi mnazoona kwenye
magazeti na miezi ya makadirio ya kuzaliwa ni 49% huwa zinawapatia watu
wachache muongozo wengine wote hola
Kwa mwenye swali: piga simu namba