Saturday, January 18, 2020

PETE YA BAHATI

PETE ZA MAJINI WA UTAJILI NA NGUVU ZA KIROHO +255745564562
PETE HII INATOA NGUVU ZA KIROHO INATOA UTAJILI NA GUVU ZA KIROHO KWA WACHUNGAJI PASTORS MVUTO WA MAPENZI,BIASHARA NA UMAARUFU
MILIKI MALI KWA NJIA YA MAJINI TABIBU LUQMANI ANATUMIA
NAIJERIA MONEY RITUAL KUMLIKISHA MTU MALI ZA BILA KAFARA
HUJACHELEWA WASILIANA NAYE KWA SIMU NO +255745564562
AU TEMBELEA WWW.USTADHILUQMANI .BLOGSPOT .COM KWA MAELEZO ZAIDI JUU
YA MAJINI WA MALI BILA KAFARA

UTAJIRI WA MALI 0745564562

TIBA ASILIA YA NGUVU ZA KIUME KWA MWANAUME 0745564562



TIBA ASILIA YA NGUVU ZA KIUME KWA MWANAUME ALIYE ATHIRIKA NA PUNYETO
WASILIANA NAMI KWANJIA YA MESEGI KUPITIA NAMBA 0745564562 UJIPATIE FOMULA KWA BEI YA 5000 TU AU DAWA ILIYOKUWA TAYARI BEI 25,000
👇🏼
Unapopiga punyeto unakuwa unaiminya mishipa ya uume ambayo ndio inaufanya uume usimame.
Matokeo yake unaifanya mishipa hiyo ilegee na kutokuwa na uwezo wa kusimama tena.
Mishipa ya uume iliyo legea kutokana na upigaji punyeto, huleta madhara yafuatayo :
i. Huondoa uwezo wa mishipa ya uume kurelax.

( Unapopata wazo la kufanya tendo la ndoa, mishipa ya uume ina relax , mishipa iki relax husababisha mishipa ya ateri kupanuka na kuruhusu damu kingie ndani ya mishipa ya uume na hatimaye kuufanya uume usimame na kuwa mgumu)

ii. Mishipa ya kiume ikishindwa ku relax husababisha mishipa ya ateri kuziba
iii. Mishipa ya ateri ikiziba, damu haiwezi kutiririka kuingia kwenye mishipa ya uume, na hata ikitokea damu imeingia ndani ya mishipa ya uume basi huingia kiasi kidogo sana tena kwa presha ndogo sana hivyo basi hata kama uume utasimama basi utasimama ukiwa legelege sana
iv. Mishipa ya uume ikishindwa kurelax basi haitakuwa na uwezo wa kuipush na kuiziba mishipa ya vena ambayo ndio hunyonya damu kutoka kwenye mishipa ya uume ulio simama. Matokeo yake basi, damu kidogo iliyo ingia ndani ya mishipa ya uume na kuufanya uume kusimama, hunyonywa na kutolewa nje ya mishipa ya uume ndani ya sekunde chache sana na hivyo kuufanya uume usinyae ndani ya muda mfupi sana.

v. Mishipa ya uume kulegea
vi. Uume kurudi ndani na kusinyaa na kuwa kama uume wa mtoto

Dawa asilia iitwayo RAAHATU ni dawa inayo tibu na kuponyesha kabisa tatizo la UKOSEFU na UPUNGUFU wa NGUVU ZA KIUME .

Dawa hii inatokana na mimea iliyo kwenye orodha ya mimea inayo tambuliwa na Shirika la Afya Duniani ( W.H.O)

Dawa hii hutumika pamoja na lishe maalumu inayo tokana na mimea iliyo fanyiwa tafiti na kuthibitishwa kisayansi

JINSI DAWA ASILIA YA RAAHATU AL JIMAAI INAVYO TIBU NA KUPONYESHA KABISA TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Dawa asilia ya KIDUME hutumika pamoja na kinywaji maalumu kwa ajili ya kutibu tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume.
pamoja na kinywaji chake maalumu, hufanya mambo yafuatayo :

1. Inasaidia kuimarisha mishipa ya uume ulio legea na hivyo kuufanya uume uwe na uwezo wa kusimama barabara kama msumari wakati wa tendo la ndoa.
2. Inasaidia kusafisha mishipa na misuli ya kwenye uume na hivyo kusaidia katika kuongeza kasi ya msukumo wa damu kwenye mishipa ya uume.

3. Husaidia kuongeza damu mwilini

4. Husaidia kuongeza msukumo(pressure) wa damu kwenye mishipa ya uume na hivyo kuufanya uume kuwa na nguvu thabiti.

5. Huipa misuli ya uume uwezo wa kuziba na kuizuia mishipa ya vena kunyonya damu kwenye
mishipa ya uume wakati wa tendo la ndoa na matokeo yake kukupa uwezo wa kufanya tendo
la ndoa kwa muda mrefu
( Kuzuia hali ya kufika kileleni haraka )

6. Husaidia kurelax mind na hivyo kumfanya mtu awe na uwezo wa kuconcentrate wakati wa tendo la ndoa bila kuathiriwa na msongo wa mawazo

7. Hurejesha,kuimarisha na kuboresha ushirikiano kati ya mishipa ya fahamu ya kwenye ubongo (nerves), mishipa ya kwenye uti wa mgongo pamoja na mishipa ya kwenye uume

8. Humfanya mwanaume awe na uwezo wa kurudia tendo la ndoa mara nyingi zaidi bila kuchoka.

9. Husaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa

10. Husaidia kuurudisha nje uume ulioingia ndani.
. 11.Husaidia kutibu sideeffects za punyeto na matumizi ya muda mrefu ya dawa kali (za kizungu ) za kuongeza nguvu za kiume.

12. Husaidia kutibu chango la kiume.

13. Husaidia kuimarisha mzunguko wa damu mwilini

14. Husaidia kutibu maradhi ya moyo

15. Husaidia kuondoa sumu mwilini

16. Tiba hii ina faida kubwa
sana kwa wagonjwa wa kisukari,kwani
husaidia katika kusawazisha kiwango cha
sukari katika damu.
17. Tiba hii husaidia kutia nguvu kwenye mishipa mwilini.
18. Husaidia kuondoa uchafu tumboni
19. Husaidia kutibu matatizo katika figo.
20. Husaidia kuimarishana na kuongeza homoni za kiume.

21. Husaidia kudhibiti kiwango cha sukari katika damu
22. Husaidia kuzuia kusanyiko la chembe sahani,zinazo sababisha kuganda kwa damu.
23. Husaidia kupunguza kolestrol na mafuta yasiyo faa mwilini
24. Husaidia kushusha vizuri kiwango cha shinikizo la damu
25. Tiba hii husaidia kutanuka kwa mishipa ya damu.
26. Husaidia kuondoa sumu mwilini
27.Husaidia kuweka mlinganyo sawa wa Homoni
28. Tiba hii Husaidia kutibu shinikizo la damu
29.Tiba hii husaidia kuimarisha msukumo wa damu mwilini
30. Husaidia kutibu matatizo ya moyo
31. Husaidia kutibu matatizo ya ubongo
32. Husaidia kuboresha utendaji kazi wa ini
33. Husaidia kuondoa sumu mwilini
34. Husaidia kutibu tatizo la presha
35. Husaidia kuongeza stamina mwilini
36. Husawazisha kiasi cha acid aina ya Uric katika damu
37. Husaidia kuimarisha mishipa ya damu
38. Husaidia kupunguza kiasi cha mafuta kwenye ini
39.Husaidia kuzuia magonjwa ya moyo na kiharusi
40. Husaidia

JINSI YA KUITA JINI NA KUPATA UNACHOTAKA (SALSAL) +255 745 564 562

JINSI YA KUITA JINI NA KUPATA UNACHOTAKA (SALSAL)


+255 745 564 562
JINSI YA KUITA JINI NA KUMUAMRISHA UNACHOTAKA

Kwanza kabisa jua ni aina gani ya jini unaetaka kumuita hapa na vitabu vingi sana vinavyozungumzia elimu ya kijini na mambo ya kiroho utakuta aina hii ya uitaji wa jini na jinsi ya kupata mazingira kwa maelekezo tofauti lakini hapa utajua ni jini gani huyo na ana sifa zipi yeye au historia yake ipo vipi!
JINI NITAKAE MZUNGUMZIA HAPA:
Anajina maarufu kama SALSAL jini huyu ananguvu za kufanya lolote unalomtuma na akakutimizia liwe zuri au baya kwa haraka na mapema sana lakini historia yake ndio inaweza kukuzuia kutokumtumia,
Hivyo waweza kutumia hili ikiwa utataka kuthubutu na huna jinsi:
HISTORIA YAKE:
Katika vitabu vingi huaminika kuwa huyu alikuwa ni paka wa faraoh ambaye alikuwa akimtuma kwa mambo mbali mbali ya kumfanyia ambaye alitafutiwa na wale wachawi wa kiizrael zama za kale na anaelezewa kuwa alikuwa ni moja kati ya vibaraka au mawakala wa jinni ambaye ni mfalme mwenye kutawala siku ya Jumamosi Maimun Abi Noukh ambaye yeye ni mwenye nguvu na hatari zaidi aliyekuwa pia moja kati ya watumwa wa Mfalme Suleiman (SOLOMON) lakini baadaye aliasi na kupinga kutii amri zake ndio malaika Jibril (GABRIEL) akamchoma na kutii amri zote alizopewa bila kupinga wala kuuliza.
UMBO LAKE:
Huyu mara nyingi ukimuita huja kwa sura ya paka ambaye ni mweusi anakutokea mbele yako na kukuuliza shida yako:
 sasa unatakiwa uwe ni mwenye akili iliyotulia ukimuita maana huja na kutokea kama paka mdogo mweusi na atakuja hadi atakaa karibu kabisa na wewe mnatizamana kana kwamba umemuita mtoto kaja kukusikiliza, mwambie kwenye masikio yake ikiwa atakutokea kama kipaka kidogo lakini akikutokea kama paka wa kawaida unaweza kumwambie ageuke kama binaadamu kama umbile hilo utaona ni baya sasa utaweza kumwambia unachotaka na akakufanyia kama ni cha mara moja basi haita pia masaa kitakuwa kimekamilika lakini kama ni jambo kubwa basi linaweza kutumia hata siku tatu atakwambia ni lini aweze kutimiza hilo jambo hawezi kukuamuru kuua wala kuchinja kiumbe chochote ili kukufanyia jambo hilo 
BUHURI: 
Hii ni aina ya kile utakacho choma wakati unafanya shughuli yako hiyo ya kumuita na hakikisha buhuri hii unayochoma iwe ni mchanganyiko wa vitu vitatu ambavyo ni UBANI MAKKA,KAZBARA NA MAJANI YA MTENDE,
ukikosa majani ya mtende tumia majani ya chikichi ukikosa hayo tumia mzizi wa HINA,
pia kama ukikosa KAZBARA basi tumia UDI ambao ni UDI NADI. hizi utakuwa unachoma kwenye moto.
JINSI YA KUMUITA:
hakikisha shughuli hii unaifanya usiku wa jumamosi au Saa ya sayari ya Saturn na hiki ni kitu ambacho kimefichwa pia kwenye vitabu vingi vya elimu ya majini na uchawi au kiroho.
Subiri wakati ambao watu wengi watakuwa teyari wamelala usiku na kama kwenu wanalala au unawalaza mapema basi unaweza kufanya wakati huo wamelala. kama upo peke yako basi unaweza kufanya wakati hakuna vurugu nje,
Na kama unaogopa basi utasema haya kwa utulivu sana utakuwa mwenye amani na atakuja hali ya kuwa anakuogopa.

(************************)
sikwambii haya ili ufanye bila uoga maana uoga wako ndio kushindwa kwako na ujue sio mchezo!
na pia huna la kuogopa kwa kiumbe hiki unatakiwa umuogope Mungu peke yake anaekupa uhai na ipo siku atauchukua
Sema hivi ili aweze kutokea na uweze kuzungumza nae
SALSAL AKMASH LAASH *3000 kwa siku moja au mara 1000 kwa siku 3 ikiwa utahitaji jambo lifanyike haraka au hapo hapo! wengi hutenganisha haya majina matatu lakini hili ni jina moja tu ambalo unatakiwa kutaja vizuri na kwa utulivu.
JINSI YA KUTAJA:
utataja kwa mtindo huu

SALSAL3AKMASHLASH!!!
hiyo 3 imesimama kama ng'aa
MAELEZO MENGINE:
Kuna kumtumia kwa namna mbili moja ni hii ya kumuita akatokea live na nyingine ni kumtuma tu bila kumuona mimi nakufundisha hii ya kumuona ili uwe na uhakika tunza vizuri hii sio ya kushare hovyo na pia ifanye iwe siri yako utanufaika kwa mengi kutokana na hii.
Muogope mwenyezi Mungu haina ulazima kufanya lakini pale ambapo hauna jinsi ni kama vile bunduki uliyohifadhi matumizi yako ndio madhara au faida zake. maelezo yake ni mazuri na faida zake ni nzuri ambayo humtamanisha kila mtu kutaka kufanya lakini mazungumzo yake ni magumu kutenda na yanataka roho nzito na maamuzi magumu. 
BAADHI YA MATUMIZI YAKE:
*Hii inaweza kukusaidia katika kulipiza kisasi kwa maadui zako na kukutoa jela au kumtoa mtu gerezani hata kama kahukumiwa kunyongwa, 
*Pia hukurejeshea wale unaowapenda haijarishi kama mtu hakupendi atakupenda tu na pia hata kama kakukimbia atarudi tu,
*Unaweza kushinda jackpot yoyote ya kamari au Ushindi wowote 
*Unaweza kushinda uchaguzi wowote hata kama ni mgumu kiasi gani kuupata, 
Kufahamu aliyepotea au kutolewa msukule na kuweza kurudisha na kuangamiza wote walioshiriki kumtoa msukule.
*Kuruka na kwenda popote duniani bila ushirikina wala ungo au vibatari. Kurudisha mapigo ya kichawi au kuumbua wachawi.

*Unaweza pia kumtuma kuuwa yoyote au popote, ikiwa tu huyo mtu unataka afe lakini jiangalie usije kufa mwenyewe kama unataka aue asiyekuwa na hatia.

IKIWA UNATAKE AWE RAFIKI YAKO AU MTUMISHI NA KADHALIKA:

Taja hayo majina yake mara elfu 3 kwa siku moja na kila siku usiku kwa muda wa siku tatu atakutokea sema utaita kama kwamba ni woto wa kinanda yaani SAAL SAAL AKMASH LAASH LAASH,
itategemea na utayari wako atatukea siku hiyo hapo hapo au baada ya siku 3,
Ila kwa utajo wa kuiba atatokea katika umbo lenye kutisha kiasi Mwili wake utakuwa kama wa Ng'ombe mweusi badala ya paka mweusi na kichwa chake kitakuwa ni cha paka mweusi na macho yake yatakuwa marefu na rangi zake ni nyekundu akikutokea atakuuliza nini shida yako.!
UTAJIBU:
Nipe hiyo pete yako atakuuliza ipo wapi wewe utamwambia nipe hiyo pete yako! 
atakupa pete kisha atapotea baada ya hapo hapo matumizi ya pete hiyo utakuwa unavaa wakati wa shida zako na pete itakuwa ni nzuri duniani hakuna mfano wake na ukivaa watu wote watakutamani wakiiona  sasa utatakiwa ukiwa na shida ya kumuona basi utakuwa unasugua na kumwambia tokea hapo mbele ukiwa na umbo fulani na unifanyie hili au lile anatokea anafanya.
MAARIFA:
Elewa ya kuwa hili jambo dini zote hakuna inayokubaliana nalo na hakuna popote utakapo kwenda kwenye dini yoyote wakakuhusisha na jambo hili hakuna dini inayokubali jambo hili wala kukataa isipokuwa kwa nafasi kubwa na maarifa yake yanatoka katika vitabu vya UGANGA  hivyo usifungamanishe jambo hili na dini yoyote au imani yoyote lipo kwenye fani ya uganga nimeandika hapa kama maarifa na atakae taka kufanya afanye akijua ni yeye na Mungu wake.
Nami nipo Mbali nawe utakae fanya katika hili.
Usiogope bali muogope Mwenyezi Mungu kwa yale unayoyatenda, Kwa sababu utalipwa na Mungu kwa yale utakayotenda

Kwa mawasiliano private tumia namba hii ya mtu aliye karibu nami:
+255 745 564 562

WAJUE MAJINI WA MAFANIKIO +255 745 564 562

JINI WA KUCHEZEA KAMARI

+255 745 564 562
+255 745 564 562
Inawezekana katika kupita pita kwako kwenye mitandao umekuta jini huyu kazungumziwa sana lakini si kwa uwazi zaidi ya kuwa ana hakikisha ushindi kwako katika michezo ya kamari,
Hapa nitakujuza kidogo na zaidi ya vile unavyojua kuhusu yeye,

MINOSON:
Huyu ni moja kati ya majini watumishi wenye nguvu kabisa katika tabaka za majini 72 wafalme au wenye uwezo na katika kundi la majini ujinini wenye asili ya pesa basi huyu ni mmoja kati ya wao watanzania au waswahili humuita NYAMIHELA wao huamini kuwa mwenye kuwa na urafiki na jini huyu hupata mali na pesa nyingi za kujitosheleza lakini kitu kimoja unachotakiwa kujua kuhusu jini huyu kwanza katika makundi ya majini yupo kwenye kundi la MASHETANI hivyo na yeye ni moja kati ya mashetani, waliokaribu sana na Shetani mwenyewe sasa unapojiingiza kutafuta pesa kwa kupitia kuchezesha kamari wenye makasino makubwa wote huweza kumuona huyu na kufanya nae mkataba ili kuweza kufanikisha katika kupata kwao manufaa kupitia yeye,

IKIWA UNATAKA KUMUONA KWENYE MAKASINO:
Ili kuweza kumuona minoson inatakiwa uwe na ubongo wa Tai pamoja na jicho la kulia la bundi hivi unakuwa umeviweka katika kitambaa chekundu na pia uwe umevaa miwani ya rangi nyekundu ikiwa utakosa hivyo basi miwani ya rangi nyekundu upate pamoja na tongotongo za paka mweusi au mbwa mweusi, hizo utazipakaa mwishoni mwa vishikio vya miwani hiyo,
Ishara ya uwepo wake pia kwenye casino uliyoingia utaona picha yenye muhuri anaotumikia ambao ni wa wakubwa zake Satanachia na Satanicia inakuwa nyuma ya karata ambazo ni Queens & Kings utaona mchoro huo hapo chini: au kwenye sehemu ya michoro kwenye ukuta

Satanachia_13211.gifsatanachia_by_andevili_dbxm5io-pre.jpg

Utakuta nyuma ya moja kati ya hiyo mihuri nyuma ya hizo card kama zimechorwa au michoro mingine ya games ambayo inakuwa nyuma yake imefichwa hiyo na pia hiyo ni mihuri ya wakubwa zake ambao yeye anawatii bila kupinga sasa unapowekwa huo mchoro eneo hilo anakuwa hana ujanja yeye na wenzie wanane wanakuwa pamoja katika Casino hiyo nao hufanya kila mchezo kumpumbaza na kumvutia anaecheza kuzidi kucheza na kuondoka bila kitu hadi awe na roho ngumu sana ndio anaweza kuwashinda pale wanapokuwa wamemkaribisha kucheza,

JINSI YA KUWASHINDA:
Huyu Minoson ni rahisi sana kumshinda pale tu unapokuwa na muhuri wake yeye huona wewe teyari ni rafiki yake na unamtii au ukiwa na moyo wa ndege anaempenda kuruka nae umeufunga mkono wa kulia kwenye kitambaa cheusi jumamosi au cheupe jumatatu yeye hukuona wewe ni rafiki yake na hukupa ushindi kwa kumfanya rafiki kwa siku hiyo moja.

Elewa kuwa Satanachia na huyo mwenzie wana watumishi 45 chini yao miongoni mwao wanne ni Surge,Uthy,Heramal,Trimasel na Sustugiel hawa wawili ni machief waliobaki ni vizabizabina sasa hawa ni watendaji wa haraka sana na wepesi zaidi nao wana watumishi wao 13 waliochini yao na ambao ndio wao wanawasimamia hawa nane waliobaki ambao miongoni mwao wa saba ndio huyo minoson, sasa nakwambia haya kukuonyesha kuwa utii wa huyu minoson katika muhuri huo upo chini ya ulinzi mkali hawezi kukwepa na pia hana ujanja ikiwa utakuwa na muhuri sahihi wa kutumia kumuongoza huyu kwa unachotaka kufanikisha katika hiyo michezo ya Gambling(kamari)

TAHADHARI:
Sijafundisha muhuri upi ni sahihi na upi si sahihi kwa sababu nimependa nikufundishe kwanza kujua uwepo wao na ikiwezekana usiende pale kwa kutegemea ushindi 
+255 745 564 562

NGUVU YA PETE +255745564562

NGUVU YA PETE



NGUVU YA PETE
Je, unafahamu ya kuwa madini na vito kwenye pete yanaweza kubadili maisha yako, mtindo uliyouzoea na ugumu uliyozoea, soma kwa makini thread hii,
1094442
*Ulishawahi kujiuliza ni lini na wewe utakuwa mtu mbele ya watu?
*Rafiki mbele ya marafiki?
*Mwenye pesa mbele ya wenye pesa?
*Msemaji mbele ya wasemaji?
*Mfano mbele ya mifano?
*Tajiri mbele ya matajiri?
*Mwenye kutoa huduma mbele ya wahudumiaji?
* Mwenye kuoa mbele ya wenye ndoa?
*Mwenye kuibuka mbele ya walioibuka?
*Mwenye kutamanika mbele ya wenye kutamanika?
*Mwenye kazi mbele ya wenye kazi?
*Mwenye kukubalika mbele ya wenye kukubalika?
*Mwenye Miujiza mbele ya wenye Miujiza?
Just stop asking yourself and act today,
Ninachoenda kufundisha hapa kwenye hii thread basi itamnufaisha kila mmoja na kila mtu kwa level zote za maisha na akapata anachotamani bila kufanya dhulma ya nafsi au roho yake mwenye na kujikita katika ushetani au mambo yasiyopendeza mbele ya Mwenyezi Mungu na jamii nzima,
Kwa kuanza wakuu nitawakumbusha au kuwarudisha nyuma kwamba kabla ya kuumbwa mwanadamu na vyote vilivyopo ilianza kauli ya Mwenyezi Mungu ambayo waislamu tunaitambua kama "Kun faya kun" kuwa na jambo likawa kauli yake Allah (S.W)
Lakini pia kwa jamaa zetu wa karibu ambao tunaishi nao kwa wema wakristo nao pia wanaamini kuwa hapo mwanzo kulikuwa (Neno) neno kwa maana ya kawaida ni kauli inayotamkwa,
Dunia hii inaaminika kuwa iliubwa kwa Mawe au kauli za Mwenyezi mungu au kwa wasioamini uwepo wa roho pia wao husema kuwa Dunia ni mkusanyiko wa elements mbalimbali ambazo zilijichanganya na kufanya Creation ya viumbe (BIG BANG THEORY),
Nachochukua kutoa hapo sehemu zote 3 nikiwa na maana kwamba (Islam/Christian & pagan)
Ni elements
Elements:
zipo katika sehemu kuu 4 zinazotambulika na wengi ambazo ni:
*moto
*upepo
* Maji
*udongo
Sisi tunaoamini katika dini na Mwenyezi Mungu tunaongeza moja Ambayo ni
*roho
Hivyo inakuwa element tano ambazo ni:
*moto
*upepo
*Maji
*Udongo
*roho
Hivyo kwa mpangilio huo tu tunaonakwamba
Huwezi kupata udongo bila roho, 
Sawa sawa?
Huwezi kupata Maji bila udongo!
Huwezi kupata upepo bila maji!
Na huwezi kupata chochote kile bila Chanzo! au hayo niliyoainisha hapo
Hata kazi huwezi kupata bila kuwa na akili yake au elimu n.k,
Naimani tupo pamoja hadi hapo,
Sasa sisi teyari ni roho za Aliyetuumba Muumba wetu na pia ili tuweze kufika popote pale tunapotaka kwenda lazima tufuate vema safari tunayoenda bila kukosea hatua moja, ili mwisho wa siku tuweze kurudi kuwa roho bila kukosea na kutokukwamia kwenye moto(maybe hell will help you to understand)
Your source is Spirit and your end is Spirit, if your end is in fire that's your choice,
Kwamba:
"Chanzo chako ni roho na mwisho wako ni roho kama utaishia Motoni hilo ni chaguo lako"
Hivyo sote tunakubali kwamba mwenyezi mungu ni wa mwanzo na wa mwisho,
Islam "Allahu Al Awwal wa Al Akhir"
Christian "Alpha & Omega"
Mimi huwa naamini jambo moja kwamba Mwenyezi Mungu vyovyote vile unavyomjua wewe hakuleta mtu duniani kuja kuteseka bali kuishi na kumuabudu na kisha kwenda zake kurudi alipokutoa.
Nikiendelea kuzungumzia kwa upana thread itachosha wacha nifupishe kwa kuwasaidia wanyonge wa kusoma
Katika hii dunia kuna mawe saba tu na madini saba tu ambayo mtu anatakiwa ayatumie pale ambapo anakuwa na tatizo linalomshinda kutatua ikiwa atataka roho yake itulie bila kuwa na bugudha ya kukosa utulivu au bila kufanya jambo kwa mafanikio, sio kila anayeishi anajua vitu vyote na kazi yake hivyo kuongozana na kukumbusha au kuhabarisha ni heri kwa kila mtu,
aina hizi za mawe ndio pekee ambazo zimethibitishwa hata kisayansi kuwa na nguvu ambazo hapo zamani zilionekana za kiroho na habari za kusikika tu lakini kwa sasa wanasayansi katika tafuta tafuta wamekuja kujua kwamba kuna baadhi ya mawe kweli yana nguvu chanya zinazoweza kumsaidia mtu katika mambo fulani fulani.
pia kuna aina saba za madini ambayo mtu anaweza kuyatumia kwa kuchanganya na mawe hayo kupata pete hizo ambazo zinakuwa na uwezo wa nguvu ambayo mtu humpa nguvu na kuweza kufikia yale anayoyatamani,
Aina saba za madini ni:
1: Lead/Risasi
2: tin/Bati
3: iron/ chuma
4: Gold/dhahabu
5: Copper/ kopa/shaba
6: brass/ shaba/kopa
7: silver / Fedha
Aina saba za mawe ni:
1: Jet
2: Amethyst
3: Bloodstone (jiwe la Yesu)
4: Amber ya njano
5: Jade
6: Carnelian(Aqiq) jiwe la mtume
7: Moonstone
Wakuu hayo ndio madini na mawe makuu yenye maana pana na kubwa sana na historia iliyo nzuri na kipekee na kwa mapana na marefu,
Wadogo na wakubwa zangu mnaolimbukia kuvaa stones na metals ambazo hamjui maana zake na utumikaji wake nawapa pole mwisho wake ni kuangamia na kujikuta kwenye wakati mgumu usioweza kusaidika, pia unakuta mtu anavaa pete mkono usiofaa na madini yasiyofaa na jinsi isiyofaa ndugu yangu hatutashangaa tukiskia umejiua au umefanya jambo la kutikisa dunia, unakuta mtu anavaa pete
*kidole cha gumba bila kujua maana yake, hivyo ni kuwish kufa kwa kujiua au udhalili,au kuuliwa kwa heshima au vitani
*pia kuvaa pete kidole cha shahada ni kukaribisha tabia za Sodom & Gomorrah katika roho yako na utafanya kwa sababu wao walikuwa wakifanya hivyo baada ya kuingiliwa,
*pia unakuta mtu anavaa pete kidole cha kati bila kujua maana yake
*mwingine huvaa kidogo bila kujua maana yake,
Jiepusheni na mambo msiyoyajua,
Pia pole kwa wavaa dhahabu na fedha bila kujua mwisho wake ni hovyo tu, heri kuachana navyo tu,
Sasa tukiachana na hayo tuanze na aina moja moja ya madini na kazi zake:
MADINI YA RISASI au PETE ya RISASI
1094450
madini haya utawala wake upo kwa malaika wa siku ya jumamosi ambaye anaitwa Cassiel au Kasfayaiill, na Jini anayetawala Jumamosi anaitwa, Abuu Nuhu Au waswahili humuita Maimuna au kiizrael huitwa Aratron. 
kama nilivyoweka kuwa ya kwanza kuelezea basi pia ujue ndio madini yaliyokuwa sawia kuliko mengine katika mambo ya kiroho, nayo hii inatawala sayari ya Zohari(saturn) na wenye kuzaliwa chini ya sayari hii sote tunafahamu uzito wa hizi sayari na kugharimika katika mambo tunayoyafanya yawe ya heri au shari na miinuko/mihemko,fikra,hisia na maamuzi kutokana na sayari hizi kiroho na kazi zake ni wachache kati yetu wasiofahamu kazi za sayari hizi, kama unahisi hufahamu hapana unafahamu kabisa mambo ya kiroho yanatawala sana masharti, masharti haya hutokea kulingana na sayari unayofanyia jambo lako hilo kama kuponya,mapenzi,utajili n.k 
kama ilivyo kwa madini haya mazito pia mepesi na machafu ndivyo ilivyo sayari ya Zohari ambayo huleta kwa mtu majukumu makubwa kwenye maisha ya mtu basi madini haya hutoa wepesi ndani ya uzito huo na ufanisi mzuri wa utendaji kwa mvaaji katika maisha yake na kipato chake, hufanya mtu kuona wepesi wa mambo mengi pia muonekano wa kupenda na wengine huwafanya kuvutia mbele ya watu hasa anapovaa mwanasiasa na humletea mtu manufaa yake binafsi anayoyahitaji,
Sehemu kubwa ya magonjwa ya milipuko yanayoletwa na aura mbovu za watu wenye aura nyeusi vijicho na husda,huzuni,woga,kukosa,kufunga,kutokuwa na maamuzi ya maisha yako binafsi,tamaa za ulimwengu kutokana na ushawishi wake yote hayo madini haya ukijua siku saa na kipindi cha kuyavaa basi utajionea ajabu,humzuia aliyevaa kutokana na kutapeliwa hovyo kudanganywa na ujinga ujinga wa kilaghai pamoja na hila za watu na zake mwenyewe,
humfanya mwenye kuvaa kuwa na mawazo ya kitukufu na kumuondolea woga wa imani za kishirikina.
tofauti kubwa ya mtu anaevaa risasi ni kutokuwa na tahadhari ya yale anayoambiwa na kuyasikia mbali na kuyafuata anakuwa hana tofauti na maamuzi ya watu waliozaliwa chini ya sayari hii yaani wenye nyota za mbuzi na ndoo. Na unapovaa madini haya basi huwezi kufanya kitu kwa kukurupuka wala kuwa na pupa ya mambo mazuri au mabaya,wala kufikiria gharama zake basi hata ikiwa mme au mke wako ni mtu wa kuhuzunika na manung'uniko hovyo mtafutie pete ya Risasi kavu hapo utakuwa umemaliza kulingana na siku na  saa ambayo wakati anazaliwa sayari hii ya Zohari ilikuwa wapi na katika element ipi udongo au upepo, 
kisha unamvisha saa kama hiyo au unampa aijaribu tu kuivaa saa hiyo ataing'ang'ania moja kwa moja dhiki yako ya manung'uniko yake kwako itakuwa imeisha na huzuni na mengineyo niliyoyataja hapo atanufaika nayo, humsaidia mtu mwenye tabia za husda na roho mbaya kukaa sawa kitulivu na huwa mwenye hekima za ajabu na humpunguzia tabia za uchoyo mtu na humuondolea mikosi ya mwilini,
humfanya mtu kuweza kuishi na watu kwa wema na humuondoshea ubaguzi wa aina yoyote ile na humfanya kuona ni nafasi ipi na yai anayoyahitaji anaweza kuyapata vipi huja kama mawazo au maono kichwani mpe mtu aliyekata tamaa ya maisha na watu waliovunjika moyo katika maisha basi kadri siku zitakavyokuwa zikienda utaanza kuona anabadilika hata wagonjwa wenye kujikatia tamaa au visirani basi wavishe Risasi hii basi utamuona kila siku anavyobadilika na kuendelea kupata hamasa nzuri,
pia kama kuna mtu unamchukia sana na unatamani hata kumuumiza au mtoto au ndugu basi mvishe Risasi taratibu roho yako itaanza kujirudi kwake kwa sharti tu la kujua wakati anazaliwa sayari ya Zohari/Saturn ilikuwa wapi na kwa hali gani ili iweze kufanya maajabu ndani ya siku 1-3 utanishukuru baadae 
pia madini haya humfanya mtu kujihisi na yeye ni sehemu ya watu waliopo duniani humu na anaweza kufanikiwa kirahisi na hakuna chochote cha kuzuia hilo 
humsogezea mtu kitu ambacho roho yake hutamani naomba nieleweke hapa ya kuwa unahisi kwamba ukiwa na pesa au tajiri ndio utafurahi hapana kama kwenye utajiri wako huo utapenda kuona umempata mke au mume fulani au wa fulani ndio roho yako itatakata basi itakuvutia uwiano sawa na utampata na utakuwa mwenye furaha pia kama unatamani kumiliki gari ya thamani na huna chanzo chochote cha kuipata basi kazi ya hii sio kukununulia gari hapana hii itakuletea hiyo gari ya thamani na utatumia hadi utakapo choka na kurudisha kwa mwenyewe.
hivyo unatakiwa uwe specific na wish unazoweka hapa ndio wengi hukosea kwenye maswala ya kiroho anatamani kitu bila kukiweka wazi basi matokeo yake anakipata na kushindwa kujua kama anacho, 
mfano:
mtu ni mwanafunzi na anaishi kwao anatamani awe anakaa peke yake na gari ya kutembelea halafu bado yupo shule hivi vitu atavipata na hata jua kama kavipata sasa anapata nafasi ya kuhama eneo analosoma anahamia mji wa ugenini anapangiwa na wazazi wake au ndugu wa wazazi wake nyumba ya kuishi ili asome huko nje ya mji wake na anapewa gari ya kuendea shule na mafuta hesabu zipo kwa muhusika sasa anakuja kusema nilitamani niwe na nyumba na gari, nimepata ya kupangiwa na gari ya kuazimwa hapa hukutamani wewe vya kwako ulitamani randomly hivyo kimekuja randomly vile vile.
MADINI YA BATI au PETE ya BATI
1094517
Bati ni madini yanayosimama siku ya Alhamisi malaika wake ni Sarfayail/Israfil ambaye huyu hupuliza baragumu siku ya hukumu Judgement Day ambapo yeye huamrishwa na Mwenyezi mungu kufanya hivyo siku hiyo na roho zote zikafufuliwa Mungu atujaalie tuwe ni miongoni mwa waliobahatika kufaulu siku hiyo. pia utawala wa chini huku duniani yupo jini au mfalme anaitwa Malaika wake anaitwa Shamhuurush Kadhi wa Majini au Bethor kiizrael
Madini haya ya bati kiroho hutumika na wenye nyota zinazotawala sayari hiyo katika kuwavutia elimu utajiri,miujiza mbalimbali mafanikio,maendeleo ambapo hupendeza sana yakitumiwa siku za alhamisi mchana na jumapili usiku na pia hufaletea wanyonge ufanisi na ulaini wa mambo,madini haya humletea mvaaji utajiri bila kutumia nguvu nyingi lakini pia humfanya mtu kujihisi kuwa bora zaidi kuliko wengine, pia kushinda mambo ya kiserikali kuwaondolea wenye matatizo ya shinikizo la damu na kuwaponya kabisa kuwasaidia katika biashara safari na kuoa au kuolewa kwa wenye kukosa ndoa na mahitaji yake,vile vile huwaongezea maarifa watu wasiokuwa na mawazo ya kitu chochote na yote hayo yoyote anaweza kuyapata kwa kujua tu wakati anazaliwa utawala wa Malaika Majini Na Sayari hiyo ulikuwa kwenye nyuzi Ngapi na katika asili ipi kisha ndio wanaweza kuvaa pete hiyo baada ya kuiosha na maji ya chumvi ya asili 
MADINI YA CHUMA:
1102264
Madini haya kiroho ni mazuri sana katika ufanisi wake ni kuwa mwenye kuyatumia katika utawala wa sayari ya Mars (Marikh) basi hushinda kila aina ya vita anayopambana iwe ya kimwili au ya kiroho,mashaka yoyote,akitaka mtu kuwa na nguvu maradufu hata katika mapenzi kutokufanyiwa,maudhi,hujuma,kuzulumiwa hovyo kutendewa haki,kushinda kesi,kuondowa mikosi ,kujikinga na kuvunjika mwili,migogoro na dhoruba au majanga yoyote au kumkusudia mtu yoyote jambo baya basi na apate pete hii na aitengeneze au anunue kisha aivae kwa kufuatia siku saa na kipindi alipokuwa akizaliwa ni wapi sayari ya Mars ilikuwa na utawala wake, Ifahamike kuwa utawala wa sayari hii upo kwa malaika wa Mwenyezi Mungu ambaye ni Samsamail au Jina jingine ni Izrael mtoa roho za watu basi na pia kuna jini anaesimamia hapo siku hiyo aneyeitwa Abu Muhriz Al Hamar, na shetani wa siku hiyo waizrael humuita Phaleg hivyo unaweza kuyafanikisha hayo kwa kujua tu wakati unazaliwa Sayari ya Mars ilikuwa wapi na ndio huko huko utakuwa ukiitumia na siku zake ambazo ni jumanne mchana na ijumaa usiku,
mfano: umezaliwa jumamosi na sayari hii ilikuwa saa tatu asubuhi basi ikifika siku hiyo jumamosi saa 3 asubuhi unanuia kisha unavaa hata kwa hilo saa moja tu basi majibu utayapata kama kupepesa macho tu,
MADINI YA DHAHABU:
1102271
Haya kiroho hutumika kwa kupata kiburi,nguvu,ufahari,kuona haya,kulegeza nyama za mwili,siasa,udereva,utajiri wa vyombo vya moto na utajiri wa madini.
pia dhahabu humsaidia mtu kupata nguvu ya roho kama roho yake ni dhaifu hasa wanawake basi dhahabu humfanya awe na nguvu katika roho yake na nafsi yake kustahimili maudhi na kusamehe, pia humuondolea mwanamke kulazimisha au kung'ang'ania jambo ambalo mume wake haliwezi kwa wanaume ambao wake zao hawavai dhahabu pole,hutakuja kuskia wala kuona mwanamke aliyevaa dhahabu anampiga mmewe au kumfokea unless huyo ni shetani sio mke,dhahabu huongeza ukarimu wa uzuri wa roho na mwili kwa mwanamke, humfanya amvutie kila anaemtazama,pia huongeza umoto katika sehemu za mbele na ulaini wa tupu ya mwanamke,
Malaika wa madini haya anaitwa Rukayail ambaye huusika na doria za mbinguni na jini wa sayari ya madini haya anaitwa Madh'habu na kiizrel anatambulika kama OCH sayari ya madini haya ni Jua/ingawa jua sio sayari lakini lugha ya kitaalamu lipo kwenye mpangilio wa sayari,
basi ikiwa mtu anahitaji kupata moja kati ya mambo hayo nilioyaainisha hapo basi atatakiwa apate pete ya dhahabu na aivae kama nilivyoelezea hapo awali.
MADINI YA KOPA/COPPER
1102277
Haya ni madini yanayotawaliwa na malaika Anyail na Jini wa sayari ya Venus anaitwa Zawbat na shetani wake anaitwa Succubi(jini mahaba)
kwa yoyote mwenye kutaka mafanikio ya kimapenzi basi yoyote yale basi na atumie pete hii ya Kopa watu watampenda na kumkubali kwa kila hali na hii ni kwa kufuata sharti za uvaaji wake na utendaji wake,humfanya mtu kuwa na roho nzuri masikilizano maelewano na heshima kwa wote na humuondoshea chuki na humfanya kuwa na sauti nzuri na kumpatisha kila kitu kinachofurahisha mwanamke basi atafanikiwa, huongeza mapenzi kwa jinsia tofauti na yako hukuinua juu kimuonekano hukufanya uonekana unacho hata kama unapata kwa tabu, hufanya watu wakuhurumie kwa kila hali na kukupenda pia, kukusifu na kukuthamini, ukichanganya hii na bati katika muundo wako na ukaweka stone ya nyota yako basi kila unalotamani utakuwa unalipata ndani ya dakika chake sana au siku chache,
ukiitumia katika majira ya baridi na mvua basi utakuwa tajiri mwenye kujitosheleza yani wewe akili yako unahisi ukiwa na nini utajihisi tajiri basi utapata. pia ukimtaka mwanamke yoyote au mwanaume yoyote yule kutoka rohoni yaani roho ikakuuma kiwa naye basi utampata atakuja mwenyewe bila wewe kumuhangaikia,
yote hayo ni kwa kufuata hawasi zake na taratibu zake na kujua nyota yako ilikuwa wapi katika sayari ya Venus(Zuhura) wakati unazaliwa 
MADINI YA BRASS/SHABA 
1102279
Madini haya utawala wake upo kwa Malaika Mikaiil ambapo hutawala siku hiyo na jini wa siku hiyo huitwa Burkaan au OPHIEL kiizrael na hutawala sayari ya Mercury ambayo mtu akivaa pete hii ya Brass hupata akili nyingi na maarifa zaidi ya mtu wa kawaida na huwa na adabu kushinda wengine na malezi mema na kuwa mwenye maelezo ya kuvutia na mwenye kusikilizwa na huwa mtu fasihi zaidi ya kawaida na mwenye kupendeza na mwenye kipato cha kujitosheleza, lakini pia ndio madini haya ambayo mtu akiyapata na akataka kupata habari za kiroho za mtu au awe fake pastor au mganga mwenye vision basi huweza kuona mengi usingizia hata kujua kesho mtu gani anakuja na atataka nini na msaada wake ni nini,pia hii ni nzuri kwa waalimu wanaofundisha watoto viburi na watukutu pale anapovaa hii basi akifundisha hata watoto wasiokua na uelewa huelewa vema masomo yake na kila siku huonekana ni mwalimu mwenye kupendeka zaidi na wanafunzi, na pia pete hii hutumika kuchoma kuua na kutandika majini ambao ni wakorofi wasiotaka kutoka wanaong'ang'ania vichwani kwa watu,na pia ikipanguswa usoni kwa mtu mwenye majini au mashetani au uchawi huwa anapona hapo hapo au kuanguka na hata ukiwa umeiweka mfukoni basi utayafanikisha hayo kwa kufuata sharti zake na hawasi zake. 
MADINI YA SILVER AU FEDHA:
1102280
Haya ni madini maarufu sana na hutumiwa na watu wengi sana kupita madini mengine yote na wengi huvutiwa na rangi yake na uzuri wake na pia kuiga kwamba fulani kavaa, haya ndio madini pekee yanayoweza kumletea mtu kinga bila kufanya chochote muda wowote saa yoyote akivaa basi anakuwa amekingwa na vijicho na mara nyingi huchafuka mara kwa mara kwa mtu anayepigwa kijicho mara kwa mara bila kuguswa na mafuta wala matumizi mabaya ya mkono uliyovaa pete hiyo ya fedha siri moja kati ya siri za fedha ni kuwa ukivaa ikachafuka sana na baadae ikaanza kung'aa yenyewe basi kwa kipindi hicho kirefu ulichovaa huwa inakusafishia nyota yako na kukuweka sawa sisemi hivi kwamba ndio masharti ya uvaaji wake nayatoa hapana kuna adabu za kuvaa silver ukikosea basi hakuna pete inaleta mikosi,nuksi,balaa,chuki,dhalau n.k kama hii
Fedha hutawala sayari ya Mwezi na pia malaika wake huitwa Jibril na jini wake huwa anaitwa Muraatul au kiizrael huiwa PHUL ni jini ambaye huwa hakumbi mtu wala kutesa mtu tofauti na wengine wote niliowataja na pia yeye huvuta watu kuwapeleka pale ambapo watoto wametupwa na wazazi wao na kumpulizia mtu mawazo ya wapi anaweza kukomboka kutoka katika tatizo lake na mara nyingi huwatokea watu ndotoni akiwa kavaa kanzu nyeupe na anakuwa mfupi kiasi maji ya kunde au mwarabu mwenye ndevu nyingi tu baadhi ya wakristo akiwatokea huyu huhisi wameshukiwa na roho takatifu yaani Jibril (Gabriel) kumbe ni jini tu ambaye yupo chini ya uangalizi wa malaika Jibril dini zote hukubali kuwa Jibril ni roho takatifu,
Basi na katika hawasi zake za kuvaa pete ya fedha mtu anaevaa pete hiyo huwa anakuwa kajikinga na mapepo ya kukumba kichwa,umsaidia mtu kupata mawazo ya kupata riziki,kumfanikishia mazao kama ni mkulima,safari za mafanikio,mapenzi,furaha,amani kupata mambo kwa kishindo na haraka na mafanikio kufanikiwa katika uongozi wa kuchaguliwa na kupata uzazi kwa wasiozaa,
Yote hayo utayapata kwa haraka sana ikiwa tu utavaa pete hiyo siku ya kwanza iwe ni siku sahihi saa sahihi ambapo wakati unazaliwa mwezi ulikuwa wapi siku ngapi na ulikuwa vipi basi kila siku utaona maisha rahisi sana. 
Lakini kupata kinyume chake ni rahisi na haraka sana kwa wasiokuwa na maarifa.
Hadi kufikia hapa Thread yetu imeishia hapa mwenye swali anaweza kuuliza 
Kuhusu stone hizo maelezo yake hayana tofauti sana na ya madini haya isipokuwa kwa stone lolote unalotaka unaweza kupata kwa stone yoyote hapo kila kitu utapata ila tu kwa kufuata masharti yake na usawa wake, kuna stone hapo ukivaa kwa kukosea kufungwa jela wewe ni kugusa tu, na kuna nyingine ukivaa hapo utajiri kwako ni kama kupepesa macho tu,kila unalotaka uaweza kupata kuna zingine ukizichanganya vibaya na madini yake hapo utajikuta kwenye wakati mgumu hata kubakwa na watu au majini. 
Jiepusheni sana wanaume kuvaa dhahabu kwa maana hizi mila za kuvaa dhahabu kindoa ni za wenzetu waliokosa tamaduni na nidhamu za kiroho hivyo kuvaa dhahabu kunalainisha na kulegeza maumbile ndio maana maumbo ya wanaume wengi waliooa na wanavaa dhahabu ngozi zao huwa zimetepeka hasa mkono wa kushoto na kuleta usoft uliopitiliza hivyo jiwekeni mbali na mambo msioyafahamu wala kuwa na maarifa nayo, ndio maana ndoa nyingi leo zinayumba kwa maana mke akiongea na wewe unashindana nae kike kwa masuala haya ya kijinga.
Ijulikane kuwa effect za pete hizi zinafanyika siku na saa hiyo hiyo uliyovaa na athari yake itadumu kwa muda mrefu sana hadi ujioshe ndio utaona athari yake imekuondoka,
Usione ajabu leo kumuona mume anafokewa na mkewe analia wewe muangalie tu kidoleni utapata jibu.
FAIDA:
Nyota ni kitu kikubwa sana kwenye mambo ya kiroho wengi wanahaha bila kufanikiwa kiroho kwa kutokujua tu nyota zako hizi mnazoona kwenye magazeti na miezi ya makadirio ya kuzaliwa ni 49% huwa zinawapatia watu wachache muongozo wengine wote hola
Kwa mwenye swali: piga simu namba